
20 Jan
2011
20 Jan
'11
1:57 p.m.
So this guy call me crying, 'mimi naitwa Paul na nilikuwa natumia baba yangu pesa ako Kenyatta na anahitaji hio pesa atibiwe. Tafadhali niregeeshee.' So I play along, and I am like, 'Pole sana. Pole kaka. Sasa I forgot my PIN na vile unahitaji pesa hii haraka, si tukutane hapa town nitoea kwa bank nikupatie.' The he goes like 'sawa kaka', then I tell, 'Lakini pole, nimetumia pesa yako. Nimenunulia pombe na sigara.' He wails loudly and says, 'Wacha tu nipigie Safaricom.'