
Wewe ni mzee mpaka Windows yako si opensource (Sorry M$ Dudes).......................... MS buggers anycomment on this? Hahahahahahahaha 2011/3/11 Tech List Kenya <techlistkenya@gmail.com>
Future mchongoano lines
Kwenu mko wengi mpaka mnatumianga access point mbili kwa nyumba. Wewe ni mzee mpaka bado unatumianga gingerbread Wewe ni mzee mpaka simu yako ni quad core Kwenu mmesota mpaka mnashare satellite Wewe ni mzee mpaka unajua mouse ni nini. Phone yako iko down mpaka iko na LTE support Comp yako ni mzee mpaka iko na 'shut down' option Doggi (or insert fav pet) yenu iko down mpaka hata haijaingia facebook Wewe ni mzee mpaka Windows yako si opensource (Sorry M$ Dudes) Wewe ni mzee mpaka bandwidth yako bado inapimangwa na MB/s Phone yako iko down mpaka bado inatumianga touch screen Wewe ni mzee mpaka ulijoin skunkworks kabla wanunue server ;) Uko down mpaka unatype na ACTUAL keyboard Na wewe uko down mpaka unasoma kwa 'monitor' TV yenu ni mzee mpaka bado inatumianga remote Wewe ni mnoma mpaka unafanyanga hesabu na base 10 Comp yako ni slow mpaka it takes close to 1 hr to generate a rainbow table for 20 char alphanum password Office yenu iko down mpaka ur lifts only go vertical (up and down) Wewe ni mzee mpaka you are a product of the first Big Bang Yani umesota mpaka hujawahi enda planet ingine Provider wako ako down mpaka bado anakuwanga zile za 'mNotes is experiencing some delays...' Provider wako ako down mpaka ukitumiwa message on Monday unaipata on Wednesday. Provider wako ako down mpaka bado anafanya 3g testing Ng'ombe yenu ni fala mpaka inatumanga please call me kwa skype
Couldn't resist this: Wewe ni mzee mpaka ushaona Arsenal ikiwin trophy. (Totally uncalled for. Guilty as charged!!)
Nice weekend everyone _______________________________________________ Skunkworks mailing list Skunkworks@lists.my.co.ke http://lists.my.co.ke/cgi-bin/mailman/listinfo/skunkworks ------------ Skunkworks Rules http://my.co.ke/phpbb/viewtopic.php?f=24&t=94 ------------ Other services @ http://my.co.ke
-- Edmund C. O. Okumu P.O Box 8490-00200, Nairobi, Kenya. TEL: 254-721-734935