Jokes!! Really!
Stick to IT n forget comedy
Regards
Jared Koyier
2011/3/11 Tech List Kenya
<techlistkenya@gmail.com>
Future mchongoano lines
Kwenu mko wengi mpaka mnatumianga access point mbili kwa nyumba.
Wewe ni mzee mpaka bado unatumianga gingerbread
Wewe ni mzee mpaka simu yako ni quad core
Kwenu mmesota mpaka mnashare satellite
Wewe ni mzee mpaka unajua mouse ni nini.
Phone yako iko down mpaka iko na LTE support
Comp yako ni mzee mpaka iko na 'shut down' option
Doggi (or insert fav pet) yenu iko down mpaka hata haijaingia facebook
Wewe ni mzee mpaka Windows yako si opensource (Sorry M$ Dudes)
Wewe ni mzee mpaka bandwidth yako bado inapimangwa na MB/s
Phone yako iko down mpaka bado inatumianga touch screen
Wewe ni mzee mpaka ulijoin skunkworks kabla wanunue server ;)
Uko down mpaka unatype na ACTUAL keyboard
Na wewe uko down mpaka unasoma kwa 'monitor'
TV yenu ni mzee mpaka bado inatumianga remote
Wewe ni mnoma mpaka unafanyanga hesabu na base 10
Comp yako ni slow mpaka it takes close to 1 hr to generate a rainbow
table for 20 char alphanum password
Office yenu iko down mpaka ur lifts only go vertical (up and down)
Wewe ni mzee mpaka you are a product of the first Big Bang
Yani umesota mpaka hujawahi enda planet ingine
Provider wako ako down mpaka bado anakuwanga zile za 'mNotes is
experiencing some delays...'
Provider wako ako down mpaka ukitumiwa message on Monday unaipata on Wednesday.
Provider wako ako down mpaka bado anafanya 3g testing
Ng'ombe yenu ni fala mpaka inatumanga please call me kwa skype
Couldn't resist this: Wewe ni mzee mpaka ushaona Arsenal ikiwin
trophy. (Totally uncalled for. Guilty as charged!!)
Nice weekend everyone
_______________________________________________
Skunkworks mailing list
Skunkworks@lists.my.co.ke
http://lists.my.co.ke/cgi-bin/mailman/listinfo/skunkworks
------------
Skunkworks Rules
http://my.co.ke/phpbb/viewtopic.php?f=24&t=94
------------
Other services @ http://my.co.ke