On 3/11/11, Okumu O. C. Edmund <
edmund.okumu@gmail.com> wrote:
> Wewe ni mzee mpaka Windows yako si opensource (Sorry M$
> Dudes).......................... MS buggers anycomment on this?
> Hahahahahahahaha
>
> 2011/3/11 Tech List Kenya <
techlistkenya@gmail.com>
>
>> Future mchongoano lines
>>
>> Kwenu mko wengi mpaka mnatumianga access point mbili kwa nyumba.
>> Wewe ni mzee mpaka bado unatumianga gingerbread
>> Wewe ni mzee mpaka simu yako ni quad core
>> Kwenu mmesota mpaka mnashare satellite
>> Wewe ni mzee mpaka unajua mouse ni nini.
>> Phone yako iko down mpaka iko na LTE support
>> Comp yako ni mzee mpaka iko na 'shut down' option
>> Doggi (or insert fav pet) yenu iko down mpaka hata haijaingia facebook
>> Wewe ni mzee mpaka Windows yako si opensource (Sorry M$ Dudes)
>> Wewe ni mzee mpaka bandwidth yako bado inapimangwa na MB/s
>> Phone yako iko down mpaka bado inatumianga touch screen
>> Wewe ni mzee mpaka ulijoin skunkworks kabla wanunue server ;)
>> Uko down mpaka unatype na ACTUAL keyboard
>> Na wewe uko down mpaka unasoma kwa 'monitor'
>> TV yenu ni mzee mpaka bado inatumianga remote
>> Wewe ni mnoma mpaka unafanyanga hesabu na base 10
>> Comp yako ni slow mpaka it takes close to 1 hr to generate a rainbow
>> table for 20 char alphanum password
>> Office yenu iko down mpaka ur lifts only go vertical (up and down)
>> Wewe ni mzee mpaka you are a product of the first Big Bang
>> Yani umesota mpaka hujawahi enda planet ingine
>> Provider wako ako down mpaka bado anakuwanga zile za 'mNotes is
>> experiencing some delays...'
>> Provider wako ako down mpaka ukitumiwa message on Monday unaipata on
>> Wednesday.
>> Provider wako ako down mpaka bado anafanya 3g testing
>> Ng'ombe yenu ni fala mpaka inatumanga please call me kwa skype
>>
>> Couldn't resist this: Wewe ni mzee mpaka ushaona Arsenal ikiwin
>> trophy. (Totally uncalled for. Guilty as charged!!)
>>
>> Nice weekend everyone
>> _______________________________________________
>> Skunkworks mailing list
>>
Skunkworks@lists.my.co.ke>>
http://orion.my.co.ke/cgi-bin/mailman/listinfo/skunkworks>> ------------
>> Skunkworks Rules
>>
http://my.co.ke/phpbb/viewtopic.php?f=24&t=94>> ------------
>> Other services @
http://my.co.ke>>
>
>
>
> --
> Edmund C. O. Okumu
> P.O Box 8490-00200,
> Nairobi, Kenya.
> TEL: 254-721-734935
>
_______________________________________________
Skunkworks mailing list
Skunkworks@lists.my.co.kehttp://lists.my.co.ke/cgi-bin/mailman/listinfo/skunkworks------------
Skunkworks Rules
http://my.co.ke/phpbb/viewtopic.php?f=24&t=94------------
Other services @
http://my.co.ke