
28 Feb
2011
28 Feb
'11
3:25 p.m.
@humphrey. Wacha kutuchezea akili. Yaani unakunja sura kwa picha alafu unatuambia ulifanya hivyo na photoshop? Ama kuna plugin ya hiyo kazi na hatujui?